Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uingereza WembleyWadau hili pambano linafanyikia wapi
Na apige tu Mkuu.!Joshua piga hilo likovu.
Kati ya Friends corner na leaders!sina hakik sana.Wadau hili pambano linafanyikia wapi
National anthem for Ukraine is underway now!Ukrainian national anthem!
Naona upo ki update zaidi.!View attachment 502831
View attachment 502832
View attachment 502833
View attachment 502835
Na simu yangu imejikodolea kidogo kwa picha hizo
Daaah mkuu asante sana kwa taarifa, nilikuwa naangalia filamu zilizopigwa marufuku si unajua kitu kikikatazwa kinakuwa magendo navizia usiku mnene, TV1 mubashara wapenzi wa heavy weight ngoja tuangalie.Muabarishe na mwenzio usikose
Hivi na yy ni kutoka ukrain? Manake anafanana na huyoUmeimbwa wimbo wa Taifa wa Ukraine
Now wa England
N nmemuona Arnold Schwarzenegger