Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Naona dogo Joshua ndio anaingia hapa
Nope!
Joshua ninamkubali ktk ulimwengu wa boxing, lakini bado hana stamina za kumpiga Wladimir Klitschko.
Tutashuhudia jabs nzuri duniani za Klitschko zikimwelemea kinda Joshua.
 
Back
Top Bottom