Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Tangu wampokonye Pakiyao ushindi sikuwahi fuatilia mchezo huu
 
Tatizo LA babu anakula mtoto mbichi sana hivyo anamkamua nguvu mzee wa watu. Ona sasa alichofanyiwa.
 
Woooooooooooooooooh... A.J is the winner. Pambano lilokuwa gumu hakutegemea hata yeye.
 
Hana pumzi,raundi ya sita tu ulimi nje,ashkuru kamkuta babu way past his prime.
Hata na babu naye ashukuru kuwa ile mikono heavy haijaambatana na uzoefu otherwise babu angefia ulingoni. Dogo hajui kusave pumzi, akifyatuka anakuja mazima. Leo ndio mara yake ya kwanza kuvuka round ya 6
 
26af1aaab3761b9f2df13b335df7a3ba.jpg
 
Back
Top Bottom