Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni team KlitchkoKlitchko kapigwa kiume.ukiona unamwangusha mtu zaidi ya mara tatu na bado anaamka ujue ni kidume.furaha iliyoje leo katika nchi ya malkia.
Daah...dogo ana ngumi nzito haswaITS ALL OVER,DOGO KADUNDA MTU KIUKWELI
Kaka nimesema mapema huyu babu anazingua ukasema nahukumu. Kazeeka huyo astaafu tuJaji mbona umehukumu mapema hivi.?
Hana pumzi,raundi ya sita tu ulimi nje,ashkuru kamkuta babu way past his prime.Dogo kajitahidi tumpe hongera zke ila akaze aseee bdo ana matatzo!
Hahah ahsanti.asiekubali kushindwa simshindaniPoleni team Klitchko
Hpo ndio babu alipopotea!Hana pumzi,raundi ya sita tu ulimi nje,ashkuru kamkuta babu way past his prime.
Haya kaka.ndo mchezo ulivyo.lazma bingwa apatikaneKaka nimesema mapema huyu babu anazingua ukasema nahukumu. Kazeeka huyo astaafu tu
Pacquao uzito mdogo kwa hawa hagusiTangu wampokonye Pakiyao ushindi sikuwahi fuatilia mchezo huu
Hata na babu naye ashukuru kuwa ile mikono heavy haijaambatana na uzoefu otherwise babu angefia ulingoni. Dogo hajui kusave pumzi, akifyatuka anakuja mazima. Leo ndio mara yake ya kwanza kuvuka round ya 6Hana pumzi,raundi ya sita tu ulimi nje,ashkuru kamkuta babu way past his prime.