Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Sasa huyu AJ naona ana tatoo ya Africa lakini hata kuitaja tu kashindwa.
 
Hata na babu naye ashukuru kuwa ile mikono heavy haijaambatana na uzoefu otherwise babu angefia ulingoni. Dogo hajui kusave pumzi, akifyatuka anakuja mazima. Leo ndio mara yake ya kwanza kuvuka round ya 6
Tusubiri akipige na Tyson Fury,
 
Huyo mwingereza mwenye asili ya nigeria hataree. Naskia waarabu wanamfuata fuata na kumuhonga asilimu lakini jamaa kawachomolea
 
Ni kweli dogo hana uzoefu alafu pumzi inakatata mapema
Pia hajui namna ya kujilinda aisee
Pale alipodondoka vladimir angeongeza nguvu jidogo angemaliza gemu sema uzee umechangia
Kweli mkuu pale alipodondoka huyu Vladmir kafanya uzembe coz dogo alishakata moto, ilikua ni kitendo cha kumshindilia mpaka aheme. Dg yuko vzr lakin punch za tyson bado hajazifikia. Ila huyu mzee naye ni too much left handed mpaka inampunguzia ufanisi. Hahahaaa brother ake alikua anatia huruma pale nje mdogo wake wakati akitwangwa kichapo kizito round ya 11
 
Back
Top Bottom