Vipi, unadhani Joshua akienda kwenye MMA halafu amchallenge Jon Jones au Tom Aspinall, matokeo yatakuwaje? π
Halafu sidhani kama Tyson Fury alimchukulia serious Francis Ngannou na ndo maana mpambano ulikuwa vile ulivyokuwa.
Ikitokea kukawa na rematch kati ya Fury na Ngannou, ni raundi moja tu Ngannou chali.
Joshua alimchukulia serious Ngannou baada ya kuona kilichomtokea Fury.
Pia, kwa Joshua hakukuwa tena na ile element of surprise kama ilivyokuwa kwa Fury.
Fury hakujua ategemee nini toka kwa Ngannou. Lakini Joshua tayari alikuwa walau na something to go by i.e. Fury vs Ngannou.
Bottom line, he [Ngannou] secured the bag π°.