Anthony Joshua vs Francis Ngannou.....

Anthony Joshua vs Francis Ngannou.....

Nasubiria analysis kutoka kwa mwanangu mtaalam wa boxing
Ndy ni cmnt,tia neno mwanangu

Ova
@hancemtanashati
 
Vipi, unadhani Joshua akienda kwenye MMA halafu amchallenge Jon Jones au Tom Aspinall, matokeo yatakuwaje? 😀

Halafu sidhani kama Tyson Fury alimchukulia serious Francis Ngannou na ndo maana mpambano ulikuwa vile ulivyokuwa.

Ikitokea kukawa na rematch kati ya Fury na Ngannou, ni raundi moja tu Ngannou chali.

Joshua alimchukulia serious Ngannou baada ya kuona kilichomtokea Fury.

Pia, kwa Joshua hakukuwa tena na ile element of surprise kama ilivyokuwa kwa Fury.

Fury hakujua ategemee nini toka kwa Ngannou. Lakini Joshua tayari alikuwa walau na something to go by i.e. Fury vs Ngannou.

Bottom line, he [Ngannou] secured the bag 💰.
😄

Ova
 
Mma asilimia kubwa wanatumia mateke na kabali kuliko ngumi .

Mma ni mchezo wa kikatili sana , fury na Joshua wakicheza lazima wapigwe ko na ngannou mwana wa Cameroon.
 
Back
Top Bottom