mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄Vipi, unadhani Joshua akienda kwenye MMA halafu amchallenge Jon Jones au Tom Aspinall, matokeo yatakuwaje? 😀
Halafu sidhani kama Tyson Fury alimchukulia serious Francis Ngannou na ndo maana mpambano ulikuwa vile ulivyokuwa.
Ikitokea kukawa na rematch kati ya Fury na Ngannou, ni raundi moja tu Ngannou chali.
Joshua alimchukulia serious Ngannou baada ya kuona kilichomtokea Fury.
Pia, kwa Joshua hakukuwa tena na ile element of surprise kama ilivyokuwa kwa Fury.
Fury hakujua ategemee nini toka kwa Ngannou. Lakini Joshua tayari alikuwa walau na something to go by i.e. Fury vs Ngannou.
Bottom line, he [Ngannou] secured the bag 💰.
Aisee Nganou angeweza kufa.. asije jaribu tena..Wadau njooni tuangalie kwa pamoja
LINK
[emoji107]
MethStreams Live | BoxingStreams
boxingstreams reddit - Watch DAZN: Anthony Joshua vs Francis Ngannou live boxing streams free HD. Come and watch free boxing streams ppv.methstreams.com
Alichonga sana pa mlomo.Aisee Nganou angeweza kufa.. asije jaribu tena..
Aisee..