Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack Chaula (24) kushtakiwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia.
Mchungaji Lusekelo akiwa anaongea hivi karibuni kwenye mahojiano na Jambo amehoji maswali magumu kuhusu kijana aliyechoma picha ya Rais Samia.
"Kama kuna sheria za utekaji zimo katika biblia na kupiga watu...poteza watu zipo hata katika biblia lakini nani mlengwa?"
"Huyu mtu ambaye tu amechana tu picha ya Rais peke yake ndiyo mlengwa huyo, na ameshtakiwa na amelipa faini, picha ya Rais si ipo kwenye magazeti, wanafungia magazeti kwenye nyama, kwenye chipsi, ingine ipo kwenye gazeti mtu amechukua gazeti ametupa kule ina picha ya Rais"
Source: Jambo TV

- Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee
- Aliyehukumiwa kwenda jela miaka 2 kwa kuchoma picha ya Rais amechukuliwa na watu wasiyojulika, mpaka sasa hajulikani alipo