Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema katekwa sababu ya kuchana picha ya Raisi muongoMwamba kama hajapiga paba huwa yupo vizuri sn
Pia huyo dogo aweza jitekaKIONGOZI WA DINI UNATAKIWA UWE NA BUSARA SIYO KUROPOKO BILA USHAIDI.
KUNA WAJANJA WANAWEZA KUICHAFUA SERIKALI KWA KUTUMIA ILE WEAKNESS YA POLICE NA MAHAKAMA WALIYOTUMIA
KUMSHTAKI YULE DOGO .LAKINI PIA INAWEZA KUWA FURSA KWA WATEKAJI KUJIPATIA FEDHA KWA HILA.
PIA HATA WAPINZANI WANAWEZA KUMTEKA MAKUSUDI KABISA ILI WAJIPATIE SABABU ZA KUISEMA VIBAYA SERIKALI KISIASA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.KAMA WAPINZANI WALIWEZA KUMCHANGIA 5 MILIONI ,PIA WANAWEZA KUMTEKA KWA USALAMA KABISA ILI SERIKALI ICHAFUKE.CHA KUFANYA NI POLICE KUFANYA UPELELEZI KAMA WA MOSSAD.
Angekuwa ametekwa mumeo nadhani akili ako ingekaa sawa, kwanini polisi wasiwakamate hao wanaomba pesa?Kusema katekwa sababu ya kuchana picha ya Raisi muongo
Wazazi wake wanasema watu waliomteka wanataka walipwe pesa ili mwachie
Kutekwa kwa watu kutaka pesa kuna uhusiano gani na kuchana picha ya Raisi?
Lusekelo ana ushahidi huo wa kutekwa sababu ya kuchana picha ya Raisi?
Huyo asipogusa ugimbi huwa yuko njemaWakuu habari za muda huu.
Uwanja wa siasa Tanzania umeanza kuchangamka na hii ni baada ya mchungaji maarufu kutoka Tanzania, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee Wa Upako kugusia sakata la Shadrack Chaula (24) kushtakiwa kwa kuchoma picha ya Rais Samia.
- Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee
Mchungaji Lusekelo akiwa anaongea hivi karibuni kwenye mahojiano na Jambo amehoji maswali magumu kuhusu kijana aliyechoma picha ya Rais Samia.
"Kama kuna sheria za utekaji zimo katika biblia na kupiga watu...poteza watu zipo hata katika biblia lakini nani mlengwa?"
"Huyu mtu ambaye tu amechana tu picha ya Rais peke yake ndiyo mlengwa huyo, na ameshtakiwa na amelipa faini, picha ya Rais si ipo kwenye magazeti, wanafungia magazeti kwenye nyama, kwenye chipsi, ingine ipo kwenye gazeti mtu amechukua gazeti ametupa kule ina picha ya Rais"
Source: Jambo TV
Kuna kipindi binadamu hujimilikisha nafasi ya Muumba kuanza kutoa hukumu ya wengine kufa tena kwa kupigwa mpaka wafe na au kupotezwa
Na ukiangalia chanzo cha hukumu hiyo ni cha kipuuzi saana, ajabu kuna wanaosababishia watu kufa kwa kukosa madawa kwa kufisadi pesa, wao wanaendele kula maisha kwa raha zao ilihali kuna maelfu ya watu wakifa kwa kuokosa huduma mahosipitarini, wao wakiugua wanapishwa ndege kwenda ambako hakuna ufisadi na kuna huduma nzuri
Kenya inaweza kuwa na amani kwa miaka 100 ijayo lakini sio Rwanda sio Uganda.
He saidi the Truth