Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa

KIONGOZI WA DINI UNATAKIWA UWE NA BUSARA SIYO KUROPOKO BILA USHAIDI.
KUNA WAJANJA WANAWEZA KUICHAFUA SERIKALI KWA KUTUMIA ILE WEAKNESS YA POLICE NA MAHAKAMA WALIYOTUMIA
KUMSHTAKI YULE DOGO .LAKINI PIA INAWEZA KUWA FURSA KWA WATEKAJI KUJIPATIA FEDHA KWA HILA.

PIA HATA WAPINZANI WANAWEZA KUMTEKA MAKUSUDI KABISA ILI WAJIPATIE SABABU ZA KUISEMA VIBAYA SERIKALI KISIASA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI.KAMA WAPINZANI WALIWEZA KUMCHANGIA 5 MILIONI ,PIA WANAWEZA KUMTEKA KWA USALAMA KABISA ILI SERIKALI ICHAFUKE.CHA KUFANYA NI POLICE KUFANYA UPELELEZI KAMA WA MOSSAD.
 
Umeandika vitu visivyoeleweka
 
Katekwa na majambazi na majangili wanataka milioni 3 kama fidia(ransom).

Hii mijambazo itafutwe popote ilipo....
 
Hakika [emoji7]
 

Ingawa anachoongea kina mantiki kabisa, lakini najiuliza, huyu huyu aliwahi kusema chochote walipopotea watu kipindi cha Mwendazake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…