Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa

Mwamba kama hajapiga paba huwa yupo vizuri sn
Kusema katekwa sababu ya kuchana picha ya Raisi muongo

Wazazi wake wanasema watu waliomteka wanataka walipwe pesa ili mwachie

Kutekwa kwa watu kutaka pesa kuna uhusiano gani na kuchana picha ya Raisi?
Lusekelo ana ushahidi huo wa kutekwa sababu ya kuchana picha ya Raisi?
 
Pia huyo dogo aweza jiteka
Ile hela mahakamani milioni tano iliyolipwa aweza kuwa aliiona nyingi akaona asuke misheni ili wale waliomhurumia wakalipa milioni tano ili atoke jela akiamini kuwa wataweza pia kulipa kumkomboa kwenye kutekwa hewa huko apate hapo hela maana kaona kuna watu wazito wenye pesa walimhurumia wakalipa mamilioni kuwa watajitokeza tena kulipa

yawezekana pia hilo

Nafikiri maadamu limesharipotiwa polisi ukweli utajulikana .Uzuri polisi wataangalia kila angle kujua ukweli wa huyo mtaka hela nani huyo?

Nafikiri ni vizuri kabla Lusekelo kuingia studio apimwe kwanza kama hajadudumia bapa la konyagi kubwa au ndogo
 
Angekuwa ametekwa mumeo nadhani akili ako ingekaa sawa, kwanini polisi wasiwakamate hao wanaomba pesa?
 
Huyo asipogusa ugimbi huwa yuko njema
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…