Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
- Thread starter
-
- #21
Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.Tuone kama kuna mtu atamgusa baada ya kauli zake ndio utajua huyu sio tu mhubiri
Wanaweza kumpa sumu, CCM siyo kabisaTuone kama kuna mtu atamgusa baada ya kauli zake ndio utajua huyu sio tu mhubiri
Afungwe kwa kosa lipi?Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.
CCM si wezi wa kura, CHADEMA wanapotosha umma kwa kusema CCM ni wezi.CCM wanataka wakiiba tuwasifie
Huna akili, Nape na DC Ngorongoro ni CHADEMA? kama CCM inapendwa why hamtaki watu wapige kura kwa biometric voter?CCM si wezi wa kura, CHADEMA wanapotosha umma kwa kusema CCM ni wezi.
Hao walikuwa na mihemko Yao tu. Lete ushahidi hapa kuonyesha CCM tunavyoiba kura.Huna akili, Nape na DC Ngorongoro ni CHADEMA? kama CCM inapendwa why hamtaki watu wapige kura kwa biometric voter?
Wewe UWT huwezi kuelewa Nape anakijua chama na serikali kuliko mumeoHao walikuwa na mihemko Yao tu. Lete ushahidi hapa kuonyesha CCM tunavyoona kura.
Kwa kosa lipi?Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.
Mimi naijua CCM kuliko hao unaowajua. Hakuna kitu kama hicho Mimi nipo ndani ya CCM." mtu mmoja alijisemeaWewe UWT huwezi kuelewa Nape anakijua chama na serikali kuliko mumeo
Wewe huna akili na una uelewa mdogo sana wa mambo na ndio nyie mmejaa maofisini ndio maana nchi haiendi mbeleMimi nimezaliwa hapa na kukulia hapa, mpaka Sasa ni Mzee namfahamu vizuri kijana wangu
Jambo zuri ni kwamba hakuna aliye salama..
Mimi si mwajiliwa, ni mkulima wa mboga mboga, nalima mabondeni.Wewe huna akili na una uelewa mdogo sana wa mambo na ndio nyie mmejaa maofisini ndio maana nchi haiendi mbele
Alicho kisema lusekelo ni kitu very sensitive kwa wenyewe vichwa vyenye ufahamu wa kutosha , ila kwa wapumbavu kama wewe mnao beba mambo kichwa kichwa ni ngumu sana kuelewa concern yake.
Mimi si mwajiliwa, ni mkulima wa mboga mboga, nalima mabondeni.
Kwa uelewa wangu, huweza ends tofauti na serikali.
Sijawahi kubahatika kuajiriwa serikali au kwa mtu binafsi Bali huwezi ends tofauti na serikali.
Inawekwa na wananchi, baada ya kuwekwa, inakuja kuwaongoza kwa sheria na taratibu mlizowekaUnaongea kana kwamba serikali inashuka kutoka mbinguni. Hiyo serikali inawekwa na wananchi.
CCM si wezi wapinzani wanapotoshaCCM wanataka wakiiba tuwasifie
Wewe dada angu unaijulia wapi CCM? tuliaCCM si wezi wapinzani wanapotosha
Ulishawahi sikia kwenye mkutano kiongozi mkuu akisema mwaka huu tumeiba kura, zaidi ya wale wenye mihemko kama wa ngorongoro. wapinzani ndio wametujaza ujinga kuwa CCM ni wezi wa kura. Mkuu huo ni uongo ulioshikwa na wapinzani, uongo ukinenwa sana huonekana ni ukweli.Lete ushahidi kama ni kweli CCM ni wezi wa kuraWewe dada angu unaijulia wapi CCM? tulia