Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee

Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee

Tuone kama kuna mtu atamgusa baada ya kauli zake ndio utajua huyu sio tu mhubiri
Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.
 
Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.
Kwa kosa lipi?
Unafikiri anaikosoa serikali kweli?
Hapo anatuliza upepo tu.

Umemsikia alivyoongelea kuhusu Awadhi?
Hilo haswa ndio kusudio lake.
Ameng'ata na kupuliza watu wajinga hawajamwelewa huyu mwamba.
 
Mimi nimezaliwa hapa na kukulia hapa, mpaka Sasa ni Mzee namfahamu vizuri kijana wangu
Wewe huna akili na una uelewa mdogo sana wa mambo na ndio nyie mmejaa maofisini ndio maana nchi haiendi mbele

Alicho kisema lusekelo ni kitu very sensitive kwa wenyewe vichwa vyenye ufahamu wa kutosha , ila kwa wapumbavu kama wewe mnao beba mambo kichwa kichwa ni ngumu sana kuelewa concern yake.
 
Jambo zuri ni kwamba hakuna aliye salama..

Wewe huna akili na una uelewa mdogo sana wa mambo na ndio nyie mmejaa maofisini ndio maana nchi haiendi mbele

Alicho kisema lusekelo ni kitu very sensitive kwa wenyewe vichwa vyenye ufahamu wa kutosha , ila kwa wapumbavu kama wewe mnao beba mambo kichwa kichwa ni ngumu sana kuelewa concern yake.
Mimi si mwajiliwa, ni mkulima wa mboga mboga, nalima mabondeni.

Kwa uelewa wangu, huweza enda tofauti na serikali.

Sijawahi kubahatika kuajiriwa serikali au kwa mtu binafsi Bali huwezi enda tofauti na serikali.
 
Mimi si mwajiliwa, ni mkulima wa mboga mboga, nalima mabondeni.

Kwa uelewa wangu, huweza ends tofauti na serikali.

Sijawahi kubahatika kuajiriwa serikali au kwa mtu binafsi Bali huwezi ends tofauti na serikali.

Unaongea kana kwamba serikali inashuka kutoka mbinguni. Hiyo serikali inawekwa na wananchi.
 
Wewe dada angu unaijulia wapi CCM? tulia
Ulishawahi sikia kwenye mkutano kiongozi mkuu akisema mwaka huu tumeiba kura, zaidi ya wale wenye mihemko kama wa ngorongoro. wapinzani ndio wametujaza ujinga kuwa CCM ni wezi wa kura. Mkuu huo ni uongo ulioshikwa na wapinzani, uongo ukinenwa sana huonekana ni ukweli.Lete ushahidi kama ni kweli CCM ni wezi wa kura
 
Back
Top Bottom