Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
- Thread starter
- #21
Ndugu kwenye serikali hakuna aliyejuu ya sheria endapo utaenda tofauti. Kama kulikuwa na mawaziri walishawahi fungwa sembuse lusekelo. Yule ni wakawaida sana.Tuone kama kuna mtu atamgusa baada ya kauli zake ndio utajua huyu sio tu mhubiri