π π π π mikopo chechefu dnio ikoje?Hao ndiyo wahusika mikopo chechefu?.
Mkuu hujasikia wajanja wamepiga Bilion 200 huko?.π π π π mikopo chechefu dnio ikoje?
Udesi wa nyoho subiri wakuletele ushahidi be mnyalukolo vanu vana mapesa ga kukinila swela hela une nina eka mbili za ulasi huko TanangoziHuu sasa ni udesi ...
Nabii anabadili tabiri kama odds za mhindiYule Nabii wa Arusha alitabiri Gwajima atakuwa rais.
Halafu sijui litatokea jambo gani sasa. Mungu amebadili mawazo Yake.
Kwa sababu yule Nabii anatabiri sasa kwamba Jeshi litapindua serikali.