Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Lengo kubwa la Kambi ni ku(cover) pale ambapo Wanafunzi hawakufundishwa kwa sababu ya changamoto ya Walimu, Wote tunatambua upungufu wa Walimu wa kwa baadhi ya masomo, hivyo kuwakusanya pamoja Wanafunzi ni kuwafanya wapate nafasi ya kujifunza kile wanachokikosa..Ana hoja zipi? Haya ummy mwalimu kapiga marufuku mbona yupo kimya?
Anyway ...za kuambiwa changanya na zako.