Anthony Mtaka mbona kwa Ummy Mwalimu umenywea? Ulisema utasimamia unachokiamini

Anthony Mtaka mbona kwa Ummy Mwalimu umenywea? Ulisema utasimamia unachokiamini

Tatizo anasumbuliwa na nature ya kabila lake la Wajita,amejaa majivuno sana anadhani akiwa Mkuu wa Mkoa basi yeye ndio kila kitu. Pale Magufuli alipo msifia basi anajiona yeye ndio mwenye akili kuliko watu wote.

Unasumbuliwa na ukabila Chief
 
Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi.

Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya.

Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku hayo makambi na masomo wakati wa likizo.

Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?

Ule umwamba ulioonyesha wakati ule na kuwaambia wazazi wasimsikilize waziri kwa kuwa Watoto wake wanasoma shule za ada mil 10, mbona Sasa haupo?

View attachment 2035908
Mtaka ni miongoni mwa wakuu wa mikoa walio Bora kabisa. Mtazamo wake katika suala la elimu,lilizingatia mazingira ya shule zetu za huku mikoani.Walimu hawatoshi,watoto wenyewe bila msukumo wa dhati,wanaona shule sio issue kivile,hivyo RC usipokuja na mbinu mbadala, division ziro ndo halali yako.Alikuwa Sawa tu,sema hao walimwona anashine kuliko wao.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Prof ndalichako na Antony mtaka wako chini ya Ummy ,Sasa amguse Ummy Kama hatakalishwa pembe ya serikali
 
Ndo visingizio hivo hivo kila siku miaka ya 60 ya uhuru tunahangaika na vyoo, madawati na madarasa... eti amri... ujinga hautetewi kwa woga wala kujifichaficha... mm nmefauli kwa tuition... bila hivo ncngekuwa hapa nlipo leo... shule za kata walimu hamna na waliopo ni wachache na kat yao wengine kufundisha ni shida... hivo lazima kusaka knowledge mahali pengine...
Hoja siyo makambi kuwa na faida au la! Hoja ni Mtaka, MKUU WA MKOA, kiongozi mkubwa wa serikali, kupinga sera na maelekezo ya serikali anayoitumikia! Tena kwa kejeli. Hata taasisi ndogo kama familia haiendeshwi hivyo, sembuse serikali!
 
Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?
Kwa nini umsubiri Mtaka, wewe unashindwa nini kumpinga? Au unamuogopa Mtaka ndiyo maana unajificha kwenye mbeleko ya Mama Ummy!? Unanifanya niinifanya nifiche uso wangu kwa mambo yako haya.
 
jengeni hosteli,acheni ujinga,kuwalaza watoto madarasani ni ujinga wa wajinga
 
Sijui nia yake, Ila Mimi nimehoji tu mbona kwa Ummy Mwalimu kakaa kimya? Anamuogopa?
Kwanini amwogope waziri huyu wa sasaa na siyo waziri aliyesema haya mwanzo? Tofauti yao ni ipi kwani?
Mbona kama sielewielewi?
 
Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi.

Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya.

Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku hayo makambi na masomo wakati wa likizo.

Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?

Ule umwamba ulioonyesha wakati ule na kuwaambia wazazi wasimsikilize waziri kwa kuwa Watoto wake wanasoma shule za ada mil 10, mbona Sasa haupo?

View attachment 2035908
Hii ni awamu ya sita,Yule ni Joyce huyu ni Ummy,na yeye ni Anthony.
Usifanye mchezo na Ummy kwenye awamu ya sita,Unaruhusiwa kupuuza maagizo ya Joyce au Dorothy sio Ummy
 
Hii ni awamu ya sita,Yule ni Joyce huyu ni Ummy,na yeye ni Anthony.
Usifanye mchezo na Ummy kwenye awamu ya sita,Unaruhusiwa kupuuza maagizo ya Joyce au Dorothy sio Ummy
Alisema atasimamia analoamini, naona kapiga kimya
 
Back
Top Bottom