Anthony Mtaka mbona kwa Ummy Mwalimu umenywea? Ulisema utasimamia unachokiamini

Ana hoja zipi? Haya ummy mwalimu kapiga marufuku mbona yupo kimya?
Lengo kubwa la Kambi ni ku(cover) pale ambapo Wanafunzi hawakufundishwa kwa sababu ya changamoto ya Walimu, Wote tunatambua upungufu wa Walimu wa kwa baadhi ya masomo, hivyo kuwakusanya pamoja Wanafunzi ni kuwafanya wapate nafasi ya kujifunza kile wanachokikosa..
Anyway ...za kuambiwa changanya na zako.
 
MTU Mwenye Busara na Hekima huomba msamaha.

Ndio maana baada ya kutambua kosa lake, aliomba Radhia sio tu kwa Waziri, Bali kwa Wananchi.
Kiongozi yoyote mwenye busara huchagua maneno ya kuongea kabla,kuomba radhi hakumuondolei uhalisia wake.Hafai hata kuwa viongozi wa umma basi tu mifumo yetu mibovu ina mbeba.
 
Sawa watoto wa mabosi mnasoma shule za international, waacheni wa shule za kayumba nao wafanikiwe,,

Watafanikiwa tu, hata mkiwawekea vizingiti
Jamaa wanahasira hawa, kusoma hakuna ila mapenzi ruhusa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

WaTz safari hii watajua hawajui....
 
Tatizo anasumbuliwa na nature ya kabila lake la Wajita,amejaa majivuno sana anadhani akiwa Mkuu wa Mkoa basi yeye ndio kila kitu. Pale Magufuli alipo msifia basi anajiona yeye ndio mwenye akili kuliko watu wote.
Aisee, mambo ya Mtaka yamekuwa ya wajita wote. Tutake radhi tafadhali.
 
Tatizo anasumbuliwa na nature ya kabila lake la Wajita,amejaa majivuno sana anadhani akiwa Mkuu wa Mkoa basi yeye ndio kila kitu. Pale Magufuli alipo msifia basi anajiona yeye ndio mwenye akili kuliko watu wote.
Kazi kujaza vitabu kama mlima ofisini kwake kwenye meza ya kufanyia kazi, ili sijui watu wamuone kama vile anasoma sijui!!

Huyu jamaa ni mshamba sana na anamajivuno mnoo!! Hopeless kabisa!!

Tumuone anyanyue mdomo wake kwa Ummy sasa kama alivyofanya kwa Ndalichako tuone jeuli yake.😆😆🐒
 
Mataka alimaliza ngwe yake,wenye akili tulimuelewa ni kiongozi wa aina hipi, ujumbe wake ulitufikia vizuri sana.
 
Kama changamoto ni uhaba wa walimu kwa nini asipendekeze walimu wapya kuajiriwa? Badala ya hayo makambi?
 
Ndo visingizio hivo hivo kila siku miaka ya 60 ya uhuru tunahangaika na vyoo, madawati na madarasa... eti amri... ujinga hautetewi kwa woga wala kujifichaficha... mm nmefauli kwa tuition... bila hivo ncngekuwa hapa nlipo leo... shule za kata walimu hamna na waliopo ni wachache na kat yao wengine kufundisha ni shida... hivo lazima kusaka knowledge mahali pengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…