Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Tatizo anasumbuliwa na nature ya kabila lake la Wajita,amejaa majivuno sana anadhani akiwa Mkuu wa Mkoa basi yeye ndio kila kitu. Pale Magufuli alipo msifia basi anajiona yeye ndio mwenye akili kuliko watu wote.
Mtaka ni miongoni mwa wakuu wa mikoa walio Bora kabisa. Mtazamo wake katika suala la elimu,lilizingatia mazingira ya shule zetu za huku mikoani.Walimu hawatoshi,watoto wenyewe bila msukumo wa dhati,wanaona shule sio issue kivile,hivyo RC usipokuja na mbinu mbadala, division ziro ndo halali yako.Alikuwa Sawa tu,sema hao walimwona anashine kuliko wao.Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi.
Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya.
Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku hayo makambi na masomo wakati wa likizo.
Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?
Ule umwamba ulioonyesha wakati ule na kuwaambia wazazi wasimsikilize waziri kwa kuwa Watoto wake wanasoma shule za ada mil 10, mbona Sasa haupo?
View attachment 2035908
Hoja siyo makambi kuwa na faida au la! Hoja ni Mtaka, MKUU WA MKOA, kiongozi mkubwa wa serikali, kupinga sera na maelekezo ya serikali anayoitumikia! Tena kwa kejeli. Hata taasisi ndogo kama familia haiendeshwi hivyo, sembuse serikali!Ndo visingizio hivo hivo kila siku miaka ya 60 ya uhuru tunahangaika na vyoo, madawati na madarasa... eti amri... ujinga hautetewi kwa woga wala kujifichaficha... mm nmefauli kwa tuition... bila hivo ncngekuwa hapa nlipo leo... shule za kata walimu hamna na waliopo ni wachache na kat yao wengine kufundisha ni shida... hivo lazima kusaka knowledge mahali pengine...
Kwa nini umsubiri Mtaka, wewe unashindwa nini kumpinga? Au unamuogopa Mtaka ndiyo maana unajificha kwenye mbeleko ya Mama Ummy!? Unanifanya niinifanya nifiche uso wangu kwa mambo yako haya.Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?
Kwanini amwogope waziri huyu wa sasaa na siyo waziri aliyesema haya mwanzo? Tofauti yao ni ipi kwani?Sijui nia yake, Ila Mimi nimehoji tu mbona kwa Ummy Mwalimu kakaa kimya? Anamuogopa?
Hii ni awamu ya sita,Yule ni Joyce huyu ni Ummy,na yeye ni Anthony.Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi.
Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa Dodoma mnataka kufanya.
Sasa hivi kauli ya Ndalichako imetolewa na Ummy Mwalimu, na kapiga marufuku hayo makambi na masomo wakati wa likizo.
Vipi mbona kimya? Unahofia nini ikiwa ulisema utasimama kutetea Jambo hilo la makambi na masomo ya ziada wakati wa likizo?
Tuseme unamhofia na kumuogopa Ummy Mwalimu?
Ule umwamba ulioonyesha wakati ule na kuwaambia wazazi wasimsikilize waziri kwa kuwa Watoto wake wanasoma shule za ada mil 10, mbona Sasa haupo?
View attachment 2035908
Ugali mtamuAlisema atasimamia analoamini, naona kapiga kimya