Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua sababu nini.
Unasema ukweli mno!
Ona uchaguzi wa chombo tu cha michezo Gazeti la serikali linakutangaza ushindi lakini baada ya muda mfupi amri toka juu inaagiza atangazwe mshindi aliyepata kura 1 na wewe OUT!
Hizo ni salamu, na sio ajabu Bashite mzee wa kazi chafu anahusika.
Shtuka Anthony, yajayo yaweza kukushangaza au kukupoteza kama somo hutaki kuelewa.