Anthony Mtaka, Unasubiri Roho wa Bwana Akushukie Kukupa Taarifa "HUTAKIWI"?

Chuki inaweza ikawa kwa MTU mmoja, kwani wakiamua kumpiga chini na kuteua mkuu wa mkoa mwingine si inawezekana? Aendelee na kazi.
Kisa cha huyo kinafanana na cha Japhet Maganga kukataa uteuzi nafasi ya kisiasa akataka aendelee na uongozi wa chama cha waalimu.

Kuna namna uongozi huu wa ⌚100 hauataki mtu ajitofautishe na wakatili wabadhirifu na wauwaji.
Ndiyo maana Emmanuel Nchimbili anashambuliwa.
Hapo wanahisi Mtaka anagepata nafasi hiyo angejiudhuru nafasi ya kisiasa.
Kutokana na yeye kuonesha kusikitishwa na yaliyotokea 29/10. Hawataki aachie uteuzi.
 
Kuna pesa jomba,pesa pesa,unafikiri wanapigia kelele bure bure,mpunga wa kufa mtu huko kwenye Olympic
Mtu kama Mtaka si wa kupelekeshwa na hata Tandau vilevile ndio maana huyo mjinga akamuweka boya ili awe anafanya anavyoamrishwa, hasa kwenye ulaji wa hela ya olimpiki, sasa wameumbuka kamati ya kimataifa ya olimpiki ina taratibu zake na sasa Thadei kafurumshwa hatambuliwa, anayetambuliwa ni Mtaka na wahuni waliofanya huo mchezo zao zimefika sababu wanatakiwa wawajibishwe.
 
Kisa cha huyo kinafanana na cha Japhet Maganga kukataa uteuzi nafasi ya kisiasa akataka aendelee na uongozi wa chama cha waalimu.

Kuna namna uongozi huu wa ⌚100 hauataki mtu ajitofautishe na wakatili wabadhirifu na wauwaji.
Ndiyo maana Emmanuel Nchimbili anashambuliwa.
Hapo wanahisi Mtaka anagepata nafasi hiyo angejiudhuru nafasi ya kisiasa.
Kutokana na yeye kuonesha kusikitishwa na yaliyotokea 29/10. Hawataki aachie uteuzi.
Mungu amsaidie asimame imara wakati kama huu,
 
Yaliyotokea katika uchaguzi wa TOC ni Salam LOUD AND CLEAR kuwa ndani ya CCM lile kundi kubwa la wezi, wabadhilifu, watekaji, waongo na kila ubaya hawakutaki kabisa na sisi watu wa kawaida tunajua sababu nini.

Unasema ukweli mno!
Ona uchaguzi wa chombo tu cha michezo Gazeti la serikali linakutangaza ushindi lakini baada ya muda mfupi amri toka juu inaagiza atangazwe mshindi aliyepata kura 1 na wewe OUT!
Hizo ni salamu, na sio ajabu Bashite mzee wa kazi chafu anahusika.

Shtuka Anthony, yajayo yaweza kukushangaza au kukupoteza kama somo hutaki kuelewa.

View attachment 3625549View attachment 3625551

Mbona amekaa kimya hajahangaika na mtu? Ukweli una tabia mbaya sana. Unaaibisha hata waheshimiwa.

Hivi mpaka uchaguzi kama huu tunapiga matukio?
 
Nadhani CCM ni chama cha waabudu shetani ndo maana wana roho mbaya
Na ni mbaya sana una roho mbaya lakini akili yako inajiaminisha kuwa wewe ni mtu mwema sana. Mfano ni huyo Bashite, anaamini kuwa ni mtu mtakatifu mpaka anaangua kilio madhabahuni eti kuwaombea kheri watu wengine! Na wapo wajinga eti wanamuamini!
 
Mtu kama Mtaka si wa kupelekeshwa na hata Tandau vilevile ndio maana huyo mjinga akamuweka boya ili awe anafanya anavyoamrishwa, hasa kwenye ulaji wa hela ya olimpiki, sasa wameumbuka kamati ya kimataifa ya olimpiki ina taratibu zake na sasa Thadei kafurumshwa hatambuliwa, anayetambuliwa ni Mtaka na wahuni waliofanya huo mchezo zao zimefika sababu wanatakiwa wawajibishwe.
Kama yatakuwa yakwelii haya itakuwa safii sanaa.
 
Kisa cha huyo kinafanana na cha Japhet Maganga kukataa uteuzi nafasi ya kisiasa akataka aendelee na uongozi wa chama cha waalimu.

Kuna namna uongozi huu wa ⌚100 hauataki mtu ajitofautishe na wakatili wabadhirifu na wauwaji.
Ndiyo maana Emmanuel Nchimbili anashambuliwa.
Hapo wanahisi Mtaka anagepata nafasi hiyo angejiudhuru nafasi ya kisiasa.
Kutokana na yeye kuonesha kusikitishwa na yaliyotokea 29/10. Hawataki aachie uteuzi.
Hili linawezekana, ndivyo ilivyo!

Nje ya mada: hivi figisu za Maganga ziliishia wapi?

Kwa mara ya mwisho nakumbuka kama aliburuzwa mahakamani kwa kesi ya utoro kazini akishitakiwa na mwajiri wake!
 
Back
Top Bottom