Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Mwenyezi mungu atakusaidia yeye ni mwenye huruma ukimlilia kwa imani atakutoa utumwani humo pole mr bilali anza kujiponya mwenyewe kwa kumkataa pepo huyo mwambie mungu mwite mlilie nae atakuinulia macho inshallar.

Hana ubavu wa kubadilika, hata azikiri mtupu.
Kila siku nyeti yake inazidi kulegea, atamfumua rinda nan?
Mungu anasema, jisaidie nami ntakusaidia, sasa yeye kuhangahika, haangahiki, amekaakaa kama sanamu la Bismini, anasubiri miujiza.
Khaaaa!!!
Ataramba reli.
 
Umemsomaa vyema madame b, anasema eti ana bwana wake mzanzibari amempiga kibuti, sasa anatapa tapa. Huyu kweli si wa kuacha ila naona maisha yanampiga baada ya kuachwa ndo maana anatapa tapa

Umeona e Mrembo by Nature.
Kweli maisha foleni ya maji, ya mwenzio ikijaa yako iko njiani.
Alivyokuwa anampondaga Anti Assu a.k.a Kaogeee!
Eti oh shoga gani Posta hapajui, hakuna hata boutique moja anayoijua hapa mjini,
Sasa leo yeye kaachwa na basha wake Mahmood a.k.a toto la Zenji anamtafuta mchawi!
Heheeee...Halooooo!!!
Mji una wenyewe huu,
arudi kwao Kigoma akaanze Upya.
Mjini rareeee...
 
Last edited by a moderator:
Ndo manaake mwaishe hospitali akatibiwe kijambio

Akhaaa...
Mie ndo nimpeleke Hospitali?
Akawafate mashoga wenzake akina Anti Pozi a.k.a kijana wa Matashtiti ndie ampeleke hospitali.
Mie yangu yananishinda,nimekaa popo kanyea mbingu, sembu yake!!
 
Akhaaa...
Mie ndo nimpeleke Hospitali?
Akawafate mashoga wenzake akina Anti Pozi a.k.a kijana wa Matashtiti ndie ampeleke hospitali.
Mie yangu yananishinda,nimekaa popo kanyea mbingu, sembu yake!!

Mwaishe bana au unamaana mbele nako haisimami huyu anti Bilali?
 
Mwaishe bana au unamaana mbele nako haisimami huyu anti Bilali?

Mara ya mwisho kulikuwa kunasimama kwa kusuasua, sijui kwa wiki hii, maana yule nae, Mh!
Wiki hii nilikuwa busy sijaonana nae.
Labda leo nimuangalie tena.
 
Aje Lango la jiji mi meneja hapa aulize ankal Tiqo Tiqo

Anasema yeye kwa hadhi yake sio wa kukesha Lango la Jiji.
Pale kunawafaa mishangingi iliyoshindikana Magomeni na mishoga yao akina Ant Asu, Ant Ammy, Ant Sau, Ant Pozi, Ant Mau etc.
TIQO, Kumbe wewe ndio yule meneja ulieshindwa kumdhibitibi Mzee Lyimo mpaka Mariam akamsababishia kifo kakake Abuu wa Migo kwenye chips tamu.
Au unajipa promo ili mishangingi tukufate tuingie bure!
 
Last edited by a moderator:
Huyu hata akipelekwa kwa mganga ataishia kumjambia tu maana ana pepo la kutobolewa kiboga
 

Mwambie aache dharau si anataka kupona wakianza kutoka vunza vunza kwenye kijambio asinitafute tena
 
duu madame b,unanivunjaje mbavu nkisoma comment zako looh
 
hapo kwa mzee yusuph bana huyo mzee wa kibondei.nyumba yake inafatana na ya kina bilali
mzee mwanga mpaka basi:yo:

Akina Bilali wana nyumba mjini hapa?
Hapo kwenye Used Spare Parts?
Hao mpaka vitukuu vyake wana nyodo.
 
midhambi niliyokuwa nayo tu nafungua kitabu kipya cha katiba, uniongezee na ya ant bilal si unanitafutwia dhahma we sexologist!

Si unajua nina hamu ya kusutwa na mahasimu wangu akina c.t.u!
Mie bilali namjua ukucha to unywele,
ukwapa to upapa.
Lolz.

hayanihusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…