Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
- Thread starter
- #61
Mwenyezi mungu atakusaidia yeye ni mwenye huruma ukimlilia kwa imani atakutoa utumwani humo pole mr bilali anza kujiponya mwenyewe kwa kumkataa pepo huyo mwambie mungu mwite mlilie nae atakuinulia macho inshallar.
Hana ubavu wa kubadilika, hata azikiri mtupu.
Kila siku nyeti yake inazidi kulegea, atamfumua rinda nan?
Mungu anasema, jisaidie nami ntakusaidia, sasa yeye kuhangahika, haangahiki, amekaakaa kama sanamu la Bismini, anasubiri miujiza.
Khaaaa!!!
Ataramba reli.