Anti-ROBBERY , ya polisi Zimbabwe imepata tuhuma za utekaji wa wananchi wa zimbabwe, wachunguzi wameeleza

Anti-ROBBERY , ya polisi Zimbabwe imepata tuhuma za utekaji wa wananchi wa zimbabwe, wachunguzi wameeleza

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare,

Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na utesaji wa wananchi.

Rushwa imetajwa pia kua ukikamatwa wakiomba pesa wakanyimwa, au wakakosa utapigwa mpaka ufe na kutupwa kusikojulikana.

Wazimbabwe wamemuomba Rais Emerson Munangwagwa kulifuatilia suala hilo Kwa karibu na ikiwezekana kutoa muongozo wa kitengo hicho maana kimeonekana kunyanyasa Raia na kua juu ya sheria kuliko kawaida,,
Inasikitisha sana tuwaombee wazimbabwe Kwa wanayopitia
 
Tuwaombe wazimbabwe wakati hata bongo hicho kikosi tunacho kinaitwa kikosi kazi tena na sheria ukipita bungeni kuwa kina kinga ya kisheria
 
Itakuwa polisi wa Tanzania wamefungua tawi Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom