Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Kuna za Tanzania halafu za India,
Zipo za aina 2 kuna za Tanzania halafu kuna za India.AZUMA ya India??
WeirdSalamu Azuma, umejaa tiba,
Uponyaji u nawe.
Umebarikiwa kuliko dawa zote,
na mgunduzi, wa formula yako, amebarikiwa.
Azuma antibiotiki, Mtibu wa magonjwa,
utuponye sisi wagonjwa
sasa na saa ya kuugua kwetu.
Amina.
Watu mna siri ....AZUMA haina mpinzani pande hizi za Nachingwea.
Uzuri wake unainywa Usiku asubuhi Mpyaaa