Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Ebwana nimeisikia hii albamu naona MR II ameamua kuwachana hovyo hovyo!!

Swali: Mbona kama anamtetea Kusaga eti hajui yanayotokea kwenye Radio yake?

Kuna ukweli hapo? Au MR II anamuogopa Kusaga???
 
Ebwana nimeisikia hii albamu naona MR II ameamua kuwachana hovyo hovyo!!

Swali: Mbona kama anamtetea Kusaga eti hajui yanayotokea kwenye Radio yake?

Kuna ukweli hapo? Au MR II anamuogopa Kusaga???

Hawajamtetea KUSAGA ni ukweli mhusika mkuu ni RUGE,hata hiyo THT yeye ndio kaianzisha
 
Nimeisikiliza Album ,kama wasanii wote wangeungana kuelezea feelings zao ingewasaidia tatizo wengi ni wanafiki.RUGE akiisikia hii album atawashtaki wote walioandaa?
 

Wewe ulitaka nani aseme sasa?Acha uoga wa kipumbavu!Mr. II anajua anachokifanya na ndio kaamua liwalo na liwe.What have you done lately kufikisha ujumbe pamoja na kwamba unajua matatizo mbalimbali ya wananchi?Huu ndio uoga wa kukumbatia mambo ya kipuuzi na kuogopa what will happen next!Ndio maana Watanzania hatupati maendeleo kwa kuogopa kusema ukweli.Ni mara ngapi umesikia wasanii wanadhulumiwa na kunyanyaswa na chombo hichi?Wake up na wewe uchangie kwenye huu msukumo na sio kulia lia eti ghettoism!Unajua ghettoism wewe??
 
Nilitaka nani aseme nini?
Uoga uko wapi? na wapi nimeongelea hoja ya uoga hapo?
Usidandie treni kwa mbele.
 
mmmh haya matusi ndugu yangu mbona balaa

lugha chafu mno...............angejaribu ku edit kidogo ili ipatwe kupigwa katika redio nyengine.

Mixtapes zinakuwa sio kwa ajili ya radio mara nyingi.
 
antivirus kwa mtazamo wangu na kwa udau wangu ndani ya game la hiphop naweza kuiita revolutionary mixtape ever in tanzania...na kwa taarifa nilizonazo toka kwa vijana wetu...kuna zaidi ya wana hip hop 1000 wapo njiani wakiandaa mixtapes za kuiua clouds, ruge, tht, watangazaji na ma-dj wanaoomba rushwa za voucher za simu, wanaojiita ma-maneger wanaoomba pesa za promo kwa niaba ya ma-dj na mdosi mamu...kila kundi sio tmk wala manzese crew , sewer sidaz, kikosi you name it..wananchi wana hasira mbayaaa...wamechoka kunyonywa....

Antivirus Mixtape vol-1 version 1 ina-appearance ya Sugu, Mkoloni, Mapacha, Rado na viraka, G-solo, Afande sele, Producer akiwa ni Ludi-go go go, jos, na mzigo ukisimamiwa ki-umakini na studio ya kama kawa records, pasu kwa pasu...More to come stay tuned... HATUUZI TUNAGAWA BUREEEEE
 
naambiwa kuwa HIT'EM UP tanzanian Version inaandaliwa...plus a video documentary....nayo itakuwa ni kuua tuu....MAPINDUZI MWANZO MWISHO....thanx gud soon tutaona vijana wetu wakiinuka kwa kazi za sanaa na sio kuwa ombaomba ilhali ni ma-millionea wanaonyonywa jasho lao na kikundi cha wapuuzi wachache..big up sugu n the revolutionaries behind u...HISTORY IN THE MAKING
 

Naisuiri kwa hamu sana,cha msingi wakae watulie wachambue matatizo yao ni wapange vizuri watoe hii mixtape wapunguze jazba .Niko tayari kusaidia kusambaza kwa watakaohitaji
 
Nafikiri kwa mtu yeyote aliye smart upstairs na ambae anataka kuona vijana wakijinasua na hili wimbi la umaskini lazma atawaunga mkono hawa vijana, kama ni kweli walikua wakinyonywa basi this is the right time to say no more injustice, so please jitahidini kueleza umma kwa undani hasa kitu ambacho mmenyonywa ili raia waanze kuelewa ili mwishowe muanze kupata faida ya jasho mnalolipoteza kila siku iendayo kwa mungu. Big up vijana.....
 
NI KWELI KAKA sahivi vijana wana-kiu ya kuwapa live mafisadi wa sanaa na network yao then inayotakiwa ni mipango ya muda mrefu...tuliwapa idea watafute local radio station ambayo itakuwaa fair na wakiweza walipie hata airtime waweze kujitangaza kila anayetoa album apate sehemu ya kuitangaza na hapo wataua ukiritimba wa clouds...

maana ni kweli tupu kuwa album inapokuwa na redio version sio kwamba inatolewa bure kwa kituo cha radio bali inauzwa kwa pesa nyingi sana kwa kituo chochote cha radio...mkakati wa pili ni wa kuondokana na fisadi mamu na wadosi wengine wanaowanyonya kwa kuwa na distribution line yao...INAWEZEKANA NA TUTAWASAIDIA WANAPOKWAMA HATA KWA MAWAZO TUU...na mwisho wa yote ni tatizo la wao kutokuwa na umoja...hili ni gumu kudeal nalo kwa sasa sema watakaokuja baadae wataona umuhimu wa umoja kwa wana hip hop wa tanzania na wanamuziki wote kwa ujumla...
 
Kwenye red ndilo bifu lenyewe, unalazimisha atiwe hatiani kwa sheria ipi haswa au mladi uone katiwa hatiani tu, inavyoonekana unafurahia kuona wenzako wametiwa hatiani it is a shame, but be aware that anything goes around comes around.

big up sugu..!!! at least umeweza kusafisha nyoyo za wengi walio waoga wa kusema ukweli hadharani. hata ukifungwa at least msg delivered to clouds and wengine. wasanii kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamikia clouds kwa dhuluma na mambo yasio na maana. sio siri kuwa clouds wamechangia sana kulostisha wasanii wengi tanzania hasa wanaoibuka. I would think kazi mojawapo ya vyombo vya habari ni kuwainua wasanii na si kuwatokomeza. habari za kuaminika ni kuwa clouds hawajapiga nyimbo za Mr. II kwa miaka mingi sababu ya mabifu yasio na maana. Inspekta haroun yasemekana kalostishwa na hao hao clouds. Said Karoli yuko wapi? clouds wanajua. unawezaje kupambana na mdada wa watu anayetegemea sauti kukidhi maisha yake maskini wakati unajua kabisa kua elimu yake ni ndogo. tabia ya clouds kwa wasanii ni wao kuandaa matamasha na kutumia wasanii na kuelewana kuwalipa baada ya shughuli, tamasha likiisha wakipata mshiko, wewe kama msanii huna unachopata zaidi ya kwamba watakuambia eti watakutangaza kwenye radio kwa miaka miwili na kupiga nyimbo zako. wewe kama msanii utaishi kwa kusikiliza nyimba zako radioni na kupewa sifa za juu wakati huna kitu mfukoni:A S 39:!!! wasanii wa kike ndio usiseme, bila kuvua pichu, nyimbo zao hazipigwi wala hawaaliki kwenye matamasha. kama namuona bwana K kwenye kipindi cha Jahazi akikashifu, kutukana na kucheka kama kashfa hii ingekua ya radio nyingine. Kwa vile ni kwao wako kimya utadhani kila kitu shwari. Pole sana Mr. II nina imani sheria itachukua mkondo wake na huna kubwa litakutokea. ulichofanya hapa ni kuweka hadharani yale yote ambayo wenzio wengi walishindwa kuyaongea sababu ya roho nyepesi, walibaki wakilalamika vipembeni kwa machungu.
 
Kibonde kawachafua watu wengi saaaana kwa sifa zake za kutakasijui viti maalumu au ukuu wa wilaya, na bado jamaa watammaliza. Amekuwa akikurupukia issue kwa kutumia chombo ambacho ni very sensitive. Watanzania redio inaweza kusababisha mauaji makubwa hapa nchini. Nadhani nilisha wahi kumwambia kibonde kuwa ukiona kimya kaka ujue dawa bado haijachemka, sasa ataanza kuona. Issue ya deal ya maralia alimseama Mr. ii utadhani yeye alikuwa anaijua in-and out kumbe kukurupuka tu. kama mtakumbuka kibonde aliizungumzia saaana ez if yeye ndo mwenye deal. naka kama alivyosema Mr. ii , 'he is comming, he wanna kill ya all'. Nakumbuka kamchezo kama haka kalisababisha akina Notorious na ii pac kuuaana bila raia kuelewa wakijua it is not serious. namsihi Kibondo kujiokoa aachane na utangazaji akawa join ze commedy.
 
Jamaa kaamua kujitoa mhanga, liwalo na liwe kama noma na iwe noma...KAMA MBWAYU MBWAYU!



Mkuu ZionTZ,

Kwa kuweka hiyo link...hapo umeongeza tabasamu yangu sana kwa siku ya leo.

Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…