Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Nadhani kuniita mimi ni CCM ni sawa na kunitukania mama yangu hadi ardhi ninayoikanyaga. Hivo wewe ndio umenitukana!
Mkuu Ms pole sana usikwazike wakikwambia ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kuniita mimi ni CCM ni sawa na kunitukania mama yangu hadi ardhi ninayoikanyaga. Hivo wewe ndio umenitukana!
Ebwana nimeisikia hii albamu naona MR II ameamua kuwachana hovyo hovyo!!
Swali: Mbona kama anamtetea Kusaga eti hajui yanayotokea kwenye Radio yake?
Kuna ukweli hapo? Au MR II anamuogopa Kusaga???
Heshima ni kitu cha bure..likifunguliwa bomba la sewer hapa usikimbilie kwa mods.Mkuu Ms pole sana usikwazike wakikwambia ukweli
Njia ni kutafuta space kwene media na kupresent kesi au/na kukusanya ushahidi na kusogea kwene vyombo vya dola, hata kama atashindwa kesi lakini itasaidia wengine in the future. Hatua aliyoichukua ni ukichaa kusema kwene wimbo kwamba fulani anasamba ngoma, thats first class stupidity. He is full of emotions na maneno mbofumbofu hawezi kua-achieve chochote with that ghettoism.
Nilitaka nani aseme nini?Wewe ulitaka nani aseme sasa?Acha uoga wa kipumbavu!Mr. II anajua anachokifanya na ndio kaamua liwalo na liwe.What have you done lately kufikisha ujumbe pamoja na kwamba unajua matatizo mbalimbali ya wananchi?Huu ndio uoga wa kukumbatia mambo ya kipuuzi na kuogopa what will happen next!Ndio maana Watanzania hatupati maendeleo kwa kuogopa kusema ukweli.Ni mara ngapi umesikia wasanii wanadhulumiwa na kunyanyaswa na chombo hichi?Wake up na wewe uchangie kwenye huu msukumo na sio kulia lia eti ghettoism!Unajua ghettoism wewe??
mmmh haya matusi ndugu yangu mbona balaa
lugha chafu mno...............angejaribu ku edit kidogo ili ipatwe kupigwa katika redio nyengine.
R u serious with what your talking here?Nadhani kuniita mimi ni CCM ni sawa na kunitukania mama yangu hadi ardhi ninayoikanyaga. Hivo wewe ndio umenitukana!
naambiwa kuwa HIT'EM UP tanzanian Version inaandaliwa...plus a video documentary....nayo itakuwa ni kuua tuu....MAPINDUZI MWANZO MWISHO....thanx gud soon tutaona vijana wetu wakiinuka kwa kazi za sanaa na sio kuwa ombaomba ilhali ni ma-millionea wanaonyonywa jasho lao na kikundi cha wapuuzi wachache..big up sugu n the revolutionaries behind u...HISTORY IN THE MAKING
Kwenye red ndilo bifu lenyewe, unalazimisha atiwe hatiani kwa sheria ipi haswa au mladi uone katiwa hatiani tu, inavyoonekana unafurahia kuona wenzako wametiwa hatiani it is a shame, but be aware that anything goes around comes around.
Jamaa kaamua kujitoa mhanga, liwalo na liwe kama noma na iwe noma...KAMA MBWAYU MBWAYU!
naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani ya rap akaamua kuwatungia wimbo?? je yaliyomo huko ni kweli?? najua watu kama kina nguli wakali wa mistari watachangia ipasavyo...halllah...