wana jf huu wimbo mbona umetoka siku nyingi ktk u tube? Ni zaidi ya miezi sita mie mpenzi wa sugu nimekuwa nikiusikiliza.
jamaa ana ushahidi ndo maana wahusika wamekaa kimya...na wala msidhani hawajui kinachoendelea...sema kwenye jf ndo ulikuwa haujatinga....kwa wale wapenzi wa kweli wa hip hop na rap wanaelewa ....mambo ya tafsida huwa ni baadae......hip hop n.k huwa zinatoa live...msikilizeni snoopy ndo kama hivyo...kutoa live si tatizo...kwani kibonde yupo mmoja...? I wanna kill right now... Asante sana mheshimiwa mbunge wa mbeya mjini