Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Ruge asihodhi soko la burudani, ni lazima ang'olewe.
Lakini sasa ni nani mwenye nguvu ya kumng'oa mtu ambaye ni close friend wa rais?
 
MI HIYO PUNCH KWA KIBONDE IMENIACHA HOI BIN TAABAN. NAONA SASA KIBONDE ATAPUNGUZA KUJIKOMBA KWA CCM
:yield:
 
Paul

mhhhhhhhhhhhhhhh is it launched officially? kuna kituo chochote cha radio kilishawahi kucheza hii single? Ruge alishawahi Kukanusha haya? mhhhhhhhh nilikua nasikia story sasa nimesikia mwenyewe duuuuuuuuuuuuuuu.
 
paul

mhhhhhhhhhhhhhhh is it launched officially? Kuna kituo chochote cha radio kilishawahi kucheza hii single? Ruge alishawahi kukanusha haya? Mhhhhhhhh nilikua nasikia story sasa nimesikia mwenyewe duuuuuuuuuuuuuuu.

mkuu hakuna aliyeweza kukanusha haya hadi sasa. Labda kuna ukweli ndani yake. Lkn c unaelewa ugomvi wa ruge na sugu ulikua kwamba sugu alipata dili toka kwa wamarekani kuhusu kupiga kampeni dhidi ya malaria (malaria no more), then akaileta kwa ruge wafanye wote, lkn baadae ruge akamzunguka akaifanya mwenyewe akishirikiana na clouds na tht. Basi mr. Ii ikabidi aingie studio atoe hili punch. Pamoja na kwamba kina ruge walikimbilia wizara ya mambo ya ndani lkn waligonga mwamba.
 
Jamaa anatakiwa kuendelea kufyatua nyimbo hata akiwa mbunge hasa za kuwachana wezi wa rasilimali zetu, itampandisha chati tena. Halafu asikosekane majukwaani hahaha maana atakuwa hatafuti ngawira bali kufikisha ujumbe
 
Eti nguvu ya hoja.
Nguvu ya hoja itumike tu pale uongeapo na binadamu, lakini ukiongea na viumbe wenye nafsi za CCM unahitaji zaidi ya nguvu ya hoja.
CCM hawaelewi kwamba Sheria na taratibu zinawahusu wao pia, na sababu hiyo ndiyo hasa chanzo kikuu cha kuruhusu wababe walio upande wao kila kona ya nchi kuchezea maisha ya watu wengine.

Sugu aliwapa Hoja ya nguvu na sasa anawapa Nguvu ya Hoja kule Bungeni.

Mimi hii hainipi shida hata kidogo .

There are so many people in the system who deserve couple of holes in their heads.
 
huyu jamaa sijamwelewa kabisaaaaaa maana huku co kuchana ni kunyafula kabisa
but big up man go on, u know dis pipo are so stupid
 
Sugu moto chiniii na hiyo antivirus lazima isafishe vimeo vyote hahaha
 
Jana kwenye jahazi Kibonde alikuwa anazungumzia siku ya ugonjwa wa kisukari duniani akawa anasema masharti ya mtu mwenye ukimwi ni marahisi kuliko mwenye kisukari nikaconclude kuwa ni kweli jamaa ni victim ila ya kuwaambukiza watu makusudi Mungu atamlaani...
 
wana jf huu wimbo mbona umetoka siku nyingi ktk u tube? Ni zaidi ya miezi sita mie mpenzi wa sugu nimekuwa nikiusikiliza.
jamaa ana ushahidi ndo maana wahusika wamekaa kimya...na wala msidhani hawajui kinachoendelea...sema kwenye jf ndo ulikuwa haujatinga....kwa wale wapenzi wa kweli wa hip hop na rap wanaelewa ....mambo ya tafsida huwa ni baadae......hip hop n.k huwa zinatoa live...msikilizeni snoopy ndo kama hivyo...kutoa live si tatizo...kwani kibonde yupo mmoja...? I wanna kill right now... Asante sana mheshimiwa mbunge wa mbeya mjini
 
wana jf huu wimbo mbona umetoka siku nyingi ktk u tube? Ni zaidi ya miezi sita mie mpenzi wa sugu nimekuwa nikiusikiliza.
jamaa ana ushahidi ndo maana wahusika wamekaa kimya...na wala msidhani hawajui kinachoendelea...sema kwenye jf ndo ulikuwa haujatinga....kwa wale wapenzi wa kweli wa hip hop na rap wanaelewa ....mambo ya tafsida huwa ni baadae......hip hop n.k huwa zinatoa live...msikilizeni snoopy ndo kama hivyo...kutoa live si tatizo...kwani kibonde yupo mmoja...? I wanna kill right now... Asante sana mheshimiwa mbunge wa mbeya mjini
hata hapa JF ilishawekwa mda mrefu kweli..
 
Natamani sugu awe waziri wa katiba na sheria.:smile:
 
Naona sina haja ya kucomment maana my comment zinakuwa with held na hii ikionekana ntashukuru
 
Thanks Zion TZ kwa kutuwekea huu wimbo, nilikuwa natamani sana kuusikiliza ila sikufanikiwa kuupata, kweli sugu ni jasiri sana na anastahili kuwa mbunge, Muda wake wa kuwa kill ndio umeshafika sasa waanze kugawa urithi mapema . :hippie: :hippie:
 
Back
Top Bottom