Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Mistari imesimama sana​

 
Last edited by a moderator:
waziri mkuu wa ITALIA amewahi kufanya biashara akiwatumia MAFIA ila haichukiliki kuwa kosa kwa sababu ITALIA ya miaka hiyo kila mfanyibiashara aliwatumia MAFIA na ndio uliokuwa mfumo rasmi wa kujilinda
 
according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni
 
ni uchambuzi murua.
 
Poleni sana, ulemavu upo wa aina nyingi ikiwemo huu wa kutokufikri kwa kina.
 
SUGU ndio mtanzania wa kwanza kuleta wasanii wakubwa kutoka marekani aliwaleta LOST BOYZ miaka ya 90 tena wakiwa kwenye chati sana...
 
muhuni siku zote hana nafasi kwangu. Lakini hii haimaanishi kwamba hastahili kuungwa mkono na wahuni wenzie popote pale walipo.
 
ha ha ha safiiiii ukweli mtupu **** clouds 2mewachoka mnataka wa2 wawapigie magoti!!!
 
Huyu jamaa ni wa ukweli japo najua wote hamwez kumkubali ni kawaida kwani hata Yesu na Mtume wapo wanao mkubal na wanao mkataa bana.
 
wajanja ruge na kusaga walimpiga kanzu kwenye dili la maralia haikubariki akabaki anashangaa after all akaenda studio kurekodi matusi ili kulipa kisasi

Ss na ww unajibu comments za mwaka 2011, yaani miaka mitatu iliyopita! Au ndo hiz bangi vijana mnazovuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…