Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Nimetokea kusikiliza album ya ANTI-VIRUS Ya Mr 2 ... NI MATUSI MWANZO MWISHO KWA CLOUDS RADIO!...
Inawezekana Mr 2 ana hasira na radio hiyo kwa kile walichomtendea...lakini je haikuwepo uwezekano mwingine wa kudai haki badala ya kutoa lugha ya matusi? Nyimbo hizo zimerekodiwa vizuri mno, rythm and melody is excellent lakini hayo maneno unaweza kuzirai kama una roho ndogo.

Najiuliza tu, sasa hivi ni mbunge - mwakilishi wa wananchi....je wananchi wa jimbo lake wanajisikiaje kuwa na mwakilishi asiyejua njia muafaka ya kutatua migogoro?

Mr 2 ATAKUWA ANASHIRIKI KUTUNGA SHERIA, JE ANAJUA KUWA ALICHOKIFANYA - KUTUKANA NA KUSAMBAZA MATUSI HAYO KWA JAMII NI KOSA?
waziri mkuu wa ITALIA amewahi kufanya biashara akiwatumia MAFIA ila haichukiliki kuwa kosa kwa sababu ITALIA ya miaka hiyo kila mfanyibiashara aliwatumia MAFIA na ndio uliokuwa mfumo rasmi wa kujilinda

according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni

as a true fan of bongo flavour music, sugu yupo mbali sana kiakili na kimawazo kuliko wanamuziki wote tanzania, kitu ambacho sugu alikiwaza na kukifanya miaka ya tisini wakina profesa jay na ay wanakiwaza leo,

* sugu ndo msanii wa kwanza kugoma kuimba bure kwenye mashindano ya yoo rap bonanza miaka ya 1994 wakati huo profesa jay na kina ay ni mashabiki tu wa mziki,

*pia mwaka 1996 aligombana na muhindi kwa kuuza album yake ya kwanza hadi kwenye dola kitu ambacho wakina ay na diamond wanaibiwa mpaka leo wanaogopa kushtaki, *sugu yeye tour za abroad wanazofanya kina mwana fa leo yeye alifanya miaka ya 98 na kufikia 1999 sugu alifikia kiwango cha kurekodi album nzima holland iliyoitwa nje ya bongo kitu ambacho kina ay na prof jay na jaydee hawajafanya mpaka leo,

*ni msanii wa kwanza kuinyoshea kidole clouds kuwa ni wanyonyaji bila kuogopa kutoswa kupigiwa nyimbo zake kitu ambacho kina prof jay na ay mpaka leo wanajipendekeza kwa ruge mutahaba ili wapate show kweli njaa mbaya,

**ni msanii wa kwanza bongo kufatilia michongo mikubwa kama malaria no more aliyodhulumiwa na clouds na ruge kitu ambacho ladyjaydee au mwana fa hajui hata kuomba tenda ya kufanya graduation primary,

**sugu ni msanii wa kwanza kutaja mafisadi wa music kupitia albam ya antivirus ambayo amesema yote bila kuficha wala kuogopa na kuisambaza mtandaoni ukiitaka i search google now,

**sugu ni msanii wa kwanza kugawa album bure tanzania, antivirus inagawiwa bure pande zote haiuzwi,

**mwisho kabisa ni msanii wa kwanza kuwaza dili za pesa ndefu hadi kwenda bungeni tena kwa chama cha upinzani tena kipindi ambacho kina prof jay na ay wanatafuta tenda za kuperfom kwenye concert za ccm kweli sugu ni noma, anapiga hatua za hatari ambazo kina juma nature hawawezi hata wakizaliwa upya, hata ukicheki mawazo yao mda huu, juma nature anawaza bangi, profesa jay anawaza kuwageuka wenzake kwa ajili ya pesa kama alivyowageuka hbc, AY anawaza kumshirikisha jokate kwenye video na thabeet ameshampora now wapo usa, mwana fa anawaza kupendeza, huku sugu anawaza matatizo ya wananchi wa mbeya na investment za kufanya kwa mshahara wa millioni 12 kwa mwezi + posho na marupurupu kibao kitu ambacho hakuna msanii wa bongo flavour anaweza,

**sugu ni zaidi ya mwanamuziki na nina imani kipindi ambacho kina profesa jay na ay wanagombea ubunge sugu atakuwa kwenye uraisi au United nations kama asha rose migiro,

**mwisho kabisa according to all africa.com ni rapper wa kwanza kufanikiwa kuwa member of parliament barani africa, hakuna hip pop artist aliyewahi kufika bungeni
ni uchambuzi murua.

Poleni sana, ulemavu upo wa aina nyingi ikiwemo huu wa kutokufikri kwa kina.

SUGU ndio mtanzania wa kwanza kuleta wasanii wakubwa kutoka marekani aliwaleta LOST BOYZ miaka ya 90 tena wakiwa kwenye chati sana...

muhuni siku zote hana nafasi kwangu. Lakini hii haimaanishi kwamba hastahili kuungwa mkono na wahuni wenzie popote pale walipo.

ha ha ha safiiiii ukweli mtupu **** clouds 2mewachoka mnataka wa2 wawapigie magoti!!!

Huyu jamaa ni wa ukweli japo najua wote hamwez kumkubali ni kawaida kwani hata Yesu na Mtume wapo wanao mkubal na wanao mkataa bana.

wajanja ruge na kusaga walimpiga kanzu kwenye dili la maralia haikubariki akabaki anashangaa after all akaenda studio kurekodi matusi ili kulipa kisasi

Ss na ww unajibu comments za mwaka 2011, yaani miaka mitatu iliyopita! Au ndo hiz bangi vijana mnazovuta?

Back
Top Bottom