Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM


Hajajichimbia kaburi wala nini?? kwani alipokua naongea na vyombo vya habari alitumia matusi??? au hujui why Sugu kaimba hivyo??? Huo ni uoga usio na msingi...Wewe ulitaka atumie njia gani??? aliitisha press conference na kilio chake hakikusikika na hata SHIGONGO alijaribu kuliingilia kati...SUGU GO AHEAD.....
 

Bofya hapa nawe uusikilize

YouTube - antivirus song-song of MR. Two a.k.a sugu.wmv
 

Njia ni kutafuta space kwene media na kupresent kesi au/na kukusanya ushahidi na kusogea kwene vyombo vya dola, hata kama atashindwa kesi lakini itasaidia wengine in the future. Hatua aliyoichukua ni ukichaa kusema kwene wimbo kwamba fulani anasamba ngoma, thats first class stupidity. He is full of emotions na maneno mbofumbofu hawezi kua-achieve chochote with that ghettoism.
 

Haya pia ni mawazo yako na yeye kufanya vile ni mawazo yake ....hii ni nchi huru bana kila mtu na mawazo yake,na kwa taarifa yako hapa hamna kesi wala nini....uoga tuu!!Na sisi tunaomwelewa tayari tunaona anaachieve kitu na zaidi.SUGU GO,SUGU GO mpaka kieleweke hapendwi mtu hapa
 

Sasa nani kasema hayo niliweka hapo ni mawazo yake?? we vp? Unaposema hamna kesi unawapangia hao waliotajwa humo? Halafu huo uoga unaozungumzia ni uoga upi?
 
Sasa nani kasema hayo niliweka hapo ni mawazo yake?? we vp? Unaposema hamna kesi unawapangia hao waliotajwa humo? Halafu huo uoga unaozungumzia ni uoga upi?


Mkuu kama unafikiri Sugu katumia lugha mbovu basi subiri ukishawasikia Mapacha na akina G solo walivyozungumza kwenye hii mixtape
 
clouds wehu eti leo wameanzisha chuo kikuu cha clouds na kuanza kujiita profesa dina marios,mara prof. kibonde ovyo na certificate zao za dsj

I don't even think these are real certificates, I still doubt because the inputs doesn't match the outputs
 
Mkuu kama unafikiri Sugu katumia lugha mbovu basi subiri ukishawasikia Mapacha na akina G solo walivyozungumza kwenye hii mixtape

Kiongozi, ninachojaribu ku-reason hapa ni kwamba huwezi kumtia mtu hatiani mhalifu kwa wewe mwenyewe kutenda uhalifu in the process...ndio maana hata polisi hawawezi kutumia kidhibiti walichokipata kwa njia zisizo halali dhidi ya mtuhumiwa...mahakama inaeza kugeuza kibao na inayo haki ya kufanya hivyo.

Huu ni ushauri wa bure tu, sio kumlazimisha mtu aone kile nikionacho.
 
Abdulhalim, hivi kuna mahakama kushinda ya wananchi ? Mbona hivi sasa kesi tayari iko mbele yetu na mashahidi wa pande zote naona wanachangia ? Nina hakika hukumu ya wananchi itaweza kutoa haki na kesi inavyoendelea humu JF kwa mfano wengi wanakubaliana na hatua aliyochukua Mr. II a.k.a. Sugu !
 

Abdul.. it's not that kwamba sioni jinsi unavyoreason lakini hii Industry imekua na watu wapole sana ( Kama watanzania tunavyofahamika) sasa hawa jamaa wameamua kwenda next level, ,Sioni kama kuna jinsi nyingine wangefanya zaidi ya hivi maana nyuma ya hao wanaowatuhumu kuna nguvu kubwa zaidi. sasa hawa jamaa wameamua kujilipua na kujilipua huku si kwa ki toto.

Amini nakwambia hata kama hawatasikia au watajidai kutosikia lakini sisi wananchi tumeshafahamu ni nini kilichoko nyuma ya hii Industry.. Hizi Politricks zinaweza kuwa kila mahali lakini usi sabotage wasanii flani kwa kuwa tu wameona haki yao.
 
Wadau hivi ni kweli huyu jamaa amedakwa leo? Je, kuna tatizo gani? Mwenye data please tumwagie hapa!
 
Wadau hivi ni kweli huyu jamaa amedakwa leo? Je, kuna tatizo gani? Mwenye data please tumwagie hapa!

Na hivi kajiunga na CHADEMA, atakula jeuri yake. Hao ndo CCM bwana. Uchaguzi ukikaribia ni threats kwa kwenda mbele. Halafu mwisho wa siku tumeshinda kwa asilimia 90. Siyo mchezo.
 
Less has been expected. This was supposed to be news long days ago, it is 100% political related.

Jamani hizi pesa za Malaria zitaua mtu.
 
Itakuwa ile singo yake ya kuwapiga nyundo hao Clouds.
Na hivi katangaza kuhamia CHADEMA hawa CCM wanaweza zaa na yeye sasa hivi.
 
Wadau hivi ni kweli huyu jamaa amedakwa leo? Je, kuna tatizo gani? Mwenye data please tumwagie hapa!

Kwenye page hiyo hiyo uliyopost thread yako kuna majibu
 
Less has been expected. This was supposed to be news long days ago, it is 100% political related.

Jamani hizi pesa za Malaria zitaua mtu.

Sasa ndipo watakapo jidharirisha bora wamwachie tu.
Kama pesa za Malaria si wamesha kula na zimeisha malipo yote ni hapa hapa dunia Mungu anawaona.
 
breking nyuzzzz: mr II akamatwa leo
<div style="text-align: center;"><font color="#000000" size="3">
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…