Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Very stupid move indeed.
Nadhani kulikuwa na njia nzuri zaidi ya kuelezea hoja ileile watu wakamsikiliza na kumuelewa badala ya kutumia lugha za matusi, vitisho na uhuni usio na kichwa wala miguu. Anaweza akawa amejichimbia kaburi yeye mwenyewe kwa law suits, ambazo mi nadhani ni valid at this point.
Hajajichimbia kaburi wala nini?? kwani alipokua naongea na vyombo vya habari alitumia matusi??? au hujui why Sugu kaimba hivyo??? Huo ni uoga usio na msingi...Wewe ulitaka atumie njia gani??? aliitisha press conference na kilio chake hakikusikika na hata SHIGONGO alijaribu kuliingilia kati...SUGU GO AHEAD.....