Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Itakuwa ile singo yake ya kuwapiga nyundo hao Clouds.
Na hivi katangaza kuhamia CHADEMA hawa CCM wanaweza zaa na yeye sasa hivi.
hey......cjui nini kimetokea mpaka amekamatwa....tupeni full data ili tujue kilichomsibu huyu nguli wa hihop tz
Ni juu ya nini tena ?
Ni juu ya nini tena ?
FL;
ndiyo maana nimeomba wenye full datas maana jamaa anakwenda na single yake moja inaitwa antivirus, sasa huenda waliohusishwa wamemchukulia hatua
YouTube - antivirus song-song of MR. Two a.k.a sugu.wmv
Tusubiri kwanza tupate uhakika.
Kama ni kweli basi CHADEMA waitishe mchango wa pesa za WAKILI wakali sana wa kumtetea.
Kama tutawaachia hawa jamaa wasote peke yao, basi itakuwa tumelaaniwa.
Hawa jamaa wanaweza kuwaangusha MAFISADI wa Tanzania.
Kama siyo CHADEMA basi umoja wao utangaze michango ya hiyo pesa.
Itabidi kama kilichotokea JF ilipokamatwa, basi na sasa turudishe ule MOTO.