Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

mhhh kumekucha sasa! ila mwanaume akiwa mzuri mzuri kama hivi anipitie pembeni kabisa,maana ni presha tupu kila mja anapata crush naye kama hivi.
Kwaiyo unataka walia standard kama mm sio?
 
Nipo lkn si sikiki....namna ya kusikika ndo kama hii...karibu
 
Usitafute majanga..pale mawingu vyakula vya bwana kibao..ndio maana Bashite anawapenda..birds with same feather fly together
 
Kwamba kama hajaoa ndo ukajipendekeze akuoe au?....asee mtaliwa sana kwa style hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…