Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

mhhh kumekucha sasa! ila mwanaume akiwa mzuri mzuri kama hivi anipitie pembeni kabisa,maana ni presha tupu kila mja anapata crush naye kama hivi.
Kwaiyo unataka walia standard kama mm sio?
 
Usitafute majanga..pale mawingu vyakula vya bwana kibao..ndio maana Bashite anawapenda..birds with same feather fly together
 
Kwamba kama hajaoa ndo ukajipendekeze akuoe au?....asee mtaliwa sana kwa style hii
 
Back
Top Bottom