Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

inamaana hujaona kavaa pete ya ndoa kwenye kipindi chake au unataka ndoa za Mitala

Manaake Dini Imeruhusu Madam
Ndio hawa wanawake wanaosemaga liwalo na liwe..wakitumika wakaachwaa ooh wanaume washenzi..wanaume mbwa...wakizalishwa ooh sijuui nn...wakati wanajua kbs mali ya watu
 
mhhh kumekucha sasa! ila mwanaume akiwa mzuri mzuri kama hivi anipitie pembeni kabisa,maana ni presha tupu kila mja anapata crush naye kama hivi.
 
Back
Top Bottom