Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Huyu ni kocha mwenye muda mfupi sana .Mimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kocha mwenye muda mfupi sana .Mimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Ila itakuwa aibu .Na hata akitimuliwa haitakua ajabu,
Utakula maneno yako .Mtoa Maada unakili za kindezi kweli bila ya Abromovich kutimua makocha Chelsea ingepata mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio unakurupuka tu hiyo Arsenal ya Wenger Ina miaka mingapi wanalia na mataji
Tulimuonya mapema sana .Huyu dawa yake hiko jikoni .inachemshwa
Akimaliza mwezi huu shukuru Mungu .Chelsea tuko vizuri nyie bado mipango haijatulia tu unaemdis konte subiri mwisho wa msimu
Abramovic haangalii kushoto ama kulia , lengo lake ni ndoo tu , sasa conte akukuruke weee ! Lakini bila ndoo ni safari tu .mbona mmejificha.
nataka kujua nani ana walakini wa nafasi yake kati ya Conte na Mou
3_5_2 Imetumika kwa man u na lestercityMimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa chelsea hajui lolote kuhusu soka , hana uvumilivu na ni mtu anayetaka mafanikio kwa kasi ya radi , haiwezekani !
katika jambo lolote analolifanya mtu ili afanikiwe anahitaji consistency , haijawahi kuwa rahisi kupata mafanikio , conte hatatwaa ubingwa na anaweza asiwemo kwenye top 4 kwa msimu wake wa kwanza na baada ya hapo atadhalilika kwa kutimuliwa .
Usifukue makaburiHewalaaaaaaaa naona Unabii wako umetimia....
Hureeeeeeeeeee
Sent from my A706s Infinity using JamiiForums mobile app
Unabii ni lazima utimie , ila unaweza kuchelewa tu, nani alijua kama Ranieri angetimuliwa vile ?Hewalaaaaaaaa naona Unabii wako umetimia....
Hureeeeeeeeeee
Sent from my A706s Infinity using JamiiForums mobile app
Nahisi utakua umejua conte ni wa aina gan na hyo formation ndo imempa ubingwa sio kila ktu lazma uwze kw negatve wayMimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Conte ameni-prove wrong kwa kuwa yeye ndio kocha wa kwanza kushinda ubingwa kwa formation hiyo!Nahisi utakua umejua conte ni wa aina gan na hyo formation ndo imempa ubingwa sio kila ktu lazma uwze kw negatve way
Wewe kama sio Gunners basi Red Devils,Conte katika msimu wake wa kwanza EPL amekuwa champion na mind u " a coach is hired to be fired" nyie endeleeni kuwa wavumilivu tuuuu!!!!!Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,