Antonio Conte, kocha mzuri anayeenda chelsea kudhalilika kwa tamaa ya pesa

Mtoa Maada unakili za kindezi kweli bila ya Abromovich kutimua makocha Chelsea ingepata mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio unakurupuka tu hiyo Arsenal ya Wenger Ina miaka mingapi wanalia na mataji
 
Mtoa Maada unakili za kindezi kweli bila ya Abromovich kutimua makocha Chelsea ingepata mafanikio aliyokuwa nayo sasa sio unakurupuka tu hiyo Arsenal ya Wenger Ina miaka mingapi wanalia na mataji
Utakula maneno yako .
 
Kuna kila dalili zinazoashiria Conte atatimuliwa muda si mrefu .
 
mbona mmejificha.

nataka kujua nani ana walakini wa nafasi yake kati ya Conte na Mou
Abramovic haangalii kushoto ama kulia , lengo lake ni ndoo tu , sasa conte akukuruke weee ! Lakini bila ndoo ni safari tu .
 

ubingwaaa!!! hv unawaza ubingwa hv ss? mbona bado mapema hasa kwa EPL
ila kuhusu top 4 sina wasi kabisa na Conte.
blue week[emoji838]
 
Mimi nasubiria Conte aje kupaki basi EPL, ila akija na formation yake ya 3-5-2 ataumbuka mapema sana.
Nahisi utakua umejua conte ni wa aina gan na hyo formation ndo imempa ubingwa sio kila ktu lazma uwze kw negatve way
 
Reactions: y-n
Wewe kama sio Gunners basi Red Devils,Conte katika msimu wake wa kwanza EPL amekuwa champion na mind u " a coach is hired to be fired" nyie endeleeni kuwa wavumilivu tuuuu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…