Antonio Conte Ligi ya Uingereza ni Tofauti na Ile ya Italia Baba.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.

Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.

Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,

Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.

Angalia baba Jipange kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante man u tumeongoza ligi kwa mara ya kwanza toka aondoke babu Alex

Sent from my TV
Hahahaa daaa kaligi si kaishe kesho tutangazwe washindi[emoji2] [emoji2] Namshukuru kwa kutupa mzima mitambo Matic.

Awe makini Uingereza unaweza beba kombe msimu ujao ukapambana usishuke daraja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaniudhi sana kumzingua mzee wetu wa kazi Diego Costa, tutalifukuza kabla ya krismas likale vumbi huko Italia! Unamzingua mwanaume unaleta mrembo kama Rihanna unategemea nini?

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Morata tuu kuna mtu anaitwa Baily,Rojo ila kwa sasa majeruhi kuna Shawcros,Vertongen ajikaze kijana pale sio lelemama,Cc Robinho

Mwambieni na Conte Uingereza wachezaji ndo waajiri halafu wana viburi awe makini hawachelewi kumwotesha kibarua magugu maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.

Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.

Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,

Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.

Angalia baba Jipange kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mleta mada hebu tuacheni na Timu na kocha wetu bhana, hangaika na Timu yako na kocha wako, nani kakuambia huyo kocha wako hana mapungufu? ?? Hebu punguzeni midomo mirefu hv ikatokea tumefungwa games tano mfululizo itakuwaje humu? ?
 
Kaniudhi sana kumzingua mzee wetu wa kazi Diego Costa, tutalifukuza kabla ya krismas likale vumbi huko Italia! Unamzingua mwanaume unaleta mrembo kama Rihanna unategemea nini?

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Sasa kama costa analeta maringo.utamlazimisha?mwache aende.sio mungu yule.morata anafaa.hata timu ifungwe vipi siwezi kumlaumu conte kwa ajili ya costa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambieni Morata tuu kuna mtu anaitwa Baily,Rojo ila kwa sasa majeruhi kuna Shawcros,Vertongen ajikaze kijana pale sio lelemama,Cc Robinho

Mwambieni na Conte Uingereza wachezaji ndo waajiri halafu wana viburi awe makini hawachelewi kumwotesha kibarua magugu maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mechi moja kelele kibaoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.

Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.

Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,

Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.

Angalia baba Jipange kisawasawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni mtu mwema sana; kwanza umemshukuru then ukamshauri. Umeonyesha uungwana wa hali ya juu sana. Nami naongezea yangu hapo chini........
 
Conte baba! Conteeeeee baba! Tukutane Dec kama utaendelea kuwa kocha wa blues basi tumshukuru Mungu.

Nawe, Pep. Pep wewe. Ulilewa ushindi barca, kidogo bayern munchen wakakustukia huna jipya kimya kimya ile kibingwa ukaja man city..... baba Pep baba! Sahau msimu uliopita...... Msimu huu unalo, tunaweza kuita you gonna shake hands with Mr licifer.......am watching!

Naendelea.......na mou
 
Tumwombee Baba Conte naye anafamilia anahitaji mkono uende kinywani ila ana kazi ngumu alooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom