bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Nianze kwa Kumshukuru Baba Conte kwa kutuuzia chombo kikiwa kimesoma mita chache Matic asante kwa mzima Mitambo huyu.
Nasaha zangu kwa Conte game ya kwanza tayari Chali Halafu ijayo na Totenham muulize rafiki yetu Claudio Ranieli na Mfumo wake wa pasi 3 mpaka anabeba ndoo leo yupo wapi,sikatai ligi bado mbichi ila kuwa makini baba.
Yule Mrusi hana utani hachelewi kukupiga chini na kuleta mwingine pale,
Uingereza huwezi chukua kombe mara 3 mfululizo kama Italia au Hispania labda kwa baadhi ya timu tena miaka hiyo,wakijua mbinu zako tu umekwisha baba utashangaa Brighton wanakua wabaya siku unakutana nao kuliko Mancity,bado sijamwamini Morata hata kidogo japo kaanza na kufunga ila huezi mlinganisha na Mtu Korofi Diego Costa.
Angalia baba Jipange kisawasawa.
Sent using Jamii Forums mobile app