Antonio Nugaz amaliza Mkataba wa kazi Yanga, Wamshukuru na kumuaga

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
mwamba kamaliza mkataba wake yanga kuanzia leo

Hivyo klabu inamtakia kila la heri

Naona wakat wa Haji manara sasa

====

Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Muhamasishaji wa timu hiyo, Juma Khatib Nugaz(Antonio Nugaz) , Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza Nugaz amemaliza mkataba wake na wameamua kutomuongezea.

 
Club ya yanga sc imeachana na msemaji wake baada ya kumaliza mkataba.
 
I PROMISE YOU BARBARA NITAKUDHALILISHA UTAONDOKA SIMBA KABLA YANGUA, ANYWAY ATLEAST KAMUONDOA MTU HUKO

*NIKI REPORT TOKA KURASINI BANDARINI NIITE NZAGAMBADUME A.K.A MZEE TOZI MZEE M BAD KIBOKO YA WENYE TAMAA ZA PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…