nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Bado bumbuli jamaa lile historia yake tangu redio uhuru ni kutaka lionekane liko juu ya kila mtu hata juzi siku yao ya utopolo kuna siku atasema yeye ndo alijaza uwanjaKazi ya kuvurugana inaanza rasmi.
Bumbuli keshapata salam.Bado bumbuli jamaa lile historia yake tangu redio uhuru ni kutaka lionekane liko juu ya kila mtu hata juzi siku yao ya utopolo kuna siku atasema yeye ndo alijaza uwanja
Hii ilikuwa ni habari ya muda tu kufika, maana Manara anaweza nafasi ya usemaji na uhamasishaji.
Ushauri wangu kwa manara, anatakiwa ajue kuna kesho, asimalize maneno.
Huwezi kufanya kazi sehemu milele
Hilo mlitambue nyie makolo
Sisi hatujamkashifu kwamba kasaliti ila Nugaz mkataba wake Umeisha na hatujaona haja ya kumuongezea ila ninyi makolo hata mkataba Manara wa kufanya kazi simba hajawahi kuwa naoSasa mbona Manara kutoka Simba mlikuwa mnasema kaonewa,kunya anye Kuku,akinya Bata kaharisha.Nugaz ameonewa,Manara umepeleka tafrani Utopoloni