Antonio Nugaz amaliza Mkataba wa kazi Yanga, Wamshukuru na kumuaga


Ni swala la muda tu mtani,amini nakwambia,Jangwani hali si shwari na swala la Manara kuja pale matokeo yake tayari yameshaanza kuonekana
 
Manara ni kama vile Lowassa alivyoenda kuivuruga Chadema.
 
Makolo yamejaa hapa kumalizia uchungu wao hapa.
Mmeambiwa mkataba umekwisha, mchukueni basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…