Majungu na umbeyaHivi watanzania tunawezaga nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi watanzania tunawezaga nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.
Vv
Alivyoanza ngumi tu nilijua lazima ale KO au TKO tu Mana si kwa urushaji ule wa ngumiHajafa kweli aibu kubwa kwa Taifa, hawa mabondia wanawatoa wapi?? Huku ilitakiwa waende wakina Kiduku
Nimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.
Vv
Channel 123 fight sport ndio tunachekia hukoNimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.
Vv
Ili uende imabidi ujuane na watuKwanini hawakumpeleka Kiduku.