Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Hapa ndipo inabidi tumpe heshima Mwakinyo, alipata nafasi kama hii akaitumia vizuri, hawa wengine uharo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu Dogo Pacheco ni noma... Akilelewa atakuja kua mtu mbaya
 
Nimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.

Vv
[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Promoter ni mpuuzi anapata platform nzuri kama hiyo anapeleka wachovu
 
[emoji23][emoji23]wew unatumia azam gani..mbona sisi tunaona live hapo hapo azam
Nimelipia king'amuzi cha Azam leo ili nicheki pambano la Joshua Vs Ruiz lkn hadi sasa wanaonyesha marudio ya kumbe la Challenge, yaani Azam wasipoonyesha nitawadharau sana.

Vv
 
Huyu mchovu huyu sijui katolewa wapi, ina maana hawajawaona akina Mfaume Mfaume, Twaha Kiduku na wengineo, hii ni aibu ya mwaka.
 
aiseeee wana tumia vigezo gani kupeleka hao mabondia uyu
mjomba Seleman Said katokea wap wazee round ya1 tu chalii afu katoto ka18 yrs soft soft mojmba chalii

apo wangepelekwa wakina mfaume watoto wa manzese wale ama kina twaha kiduku kama vip
 
Hahahaha sijui wame muokota wapi huyu sele
 
Back
Top Bottom