Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Hahahaha mkuu si tunachek ngumi we una thaminisha kalio la Andy lipo flat screenHuyu MWARABU mbona kama HANA MATAKO!?
Kwaiyo kunakuwa na draw endapo ikifika hiyo round na hakuna aliyepigwa?
waingereza porojo nyingi Sana wale[emoji23] hatariiiiii jamaa hanaga pumzi niliona pambano lake moja tuu na klishko nikalijua hilo
Huyu Joshua ashanichefua. Huyu hata akikutana na Mfaume anampasua. Kweli nimeamini anabebwa na Uingereza wake. Maana nilishangaa kwenye forum moja wamarekani weupe wanamsapoti AJ. Hawana time na Mmexico-Mmarekani.
Nimehama upande namspoti chibonge. Kanikera mptuuuuuu na msonyo!
Vipi naye anapigwa za mbavu ambazo hazina point?
Nani amnaye kaelemewa?
Mimi natamani sana huyu kipipa aka flat akutane na Deontay Wilder hawa wengine ni vurugu tupu,Kwa hizi ngumi za Joshu ndio watu tunatamani akakutane ni Deontay Wilder ? Kweli?
Kwakweli hatamweza.Kwa hizi ngumi za Joshu ndio watu tunatamani akakutane ni Deontay Wilder ? Kweli?
Usishangae ya mwakinyo yakajitokeza saudia jamaa akaibuka kidedeaHome boy kazidiwa to be honest
Tatizo kubwa la AJ ni pumzi yaani rudi kwenye pambano lake na Wladimir KlitchkoPambano bado gumu sana, ila AJ anaishiwa pumzi sana na hii inamcost
Pia anamkimbia sana Andy, hatumii right hand kabisa.