Hahaha sasa wewe mwenyewe umesema Ortiz babu unadhani Klitschiko watamuitaje?[emoji38][emoji38]watajisahaulisha Klitschko?
AJ mpe heshima yake, ni heavyweight pekee aliyepigana na watabe wengi ukilinganisha na wengine wakubwa wengine. AJ kawapiga Klitschko, Whyte, Parker, Povetkin wote hao ni mabondia wa viwango vya juu (top 10). Fury kapigana na Klitschko na Wilder tu, Wilder kapigana na Ortiz na Fury tu.
Hapana bob mbona boxing guru wamesema kua Fury na Wilder ni confirmed fight.Sasa mbona kipindi Joshua ametangaza pambano na Ruiz baada ya Bigbaby Miller kuenguliwa ghafla Wilder akatangaza Rematch za Ortiz na Fury na akasema ameshasign hayo mapambano kitu ambacho hakikuwa kweli maana hadi sasa haijawa confirmed kama atapigana na Fury, hiyo yote mradi tu amkwepe AJ maana alipokuwa kwenye mahojiano US AJ aliweka wazi kwamba akimpiga Ruiz kinachofuatia ni match ya Wilder kama atakubali[emoji38][emoji38]
Team Andy Ruiz Jr.
Unajua sometime fighter anakubali pambano kwa kujua kua losing is not a matter.Babu wa kiwango cha juu (champion)[emoji3][emoji3]
Daaah pole sana, karibu sana jamviniKaka nilikuwa na majukumu mazito...so nikajiweka mbali kidoho na jf
Saa 1asubuhiKwa mida ya kibongo nadhani itakuwa kuanzia saa1 (mapambano ya undercard)
Im here
Daaah pole sana, karibu sana jamvini
Kama wameconfirm basi ni hivi karibuni, ila hawakuwa na uhakika hata na terehe means mkataba walikuwa bado hawajasign, tofauti na alivyokuwa akisema Wilder. Mimi binafsi namkubali sana Wilder ndo maana nimemuweka kwenye dp, sema sometimes simuelewi[emoji1][emoji1], nashangaa anaogopaga hata kupigana na Whyte wakati hatishi kihivyoHapana bob mbona boxing guru wamesema kua Fury na Wilder ni confirmed fight.
Hachomoki mtu Round hii AJ hatafanya Upumbavu tena.AJ...apigwe tena tu
Man man nakuhakikishia Ruiz hachomoki na akifikisha hata Round ya 8 basi anashinda yeye.Team Andy Ruiz Jr.
Tutashinda.