Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Chaneli gani ritarushwa na muda gani?
Azam wataonesha
Screenshot_20191203-104539.jpeg
 
Wote hao tayari walikuwa wameshakuwa ma veteran....hamna kitu
AJ mpe heshima yake, ni heavyweight pekee aliyepigana na watabe wengi ukilinganisha na wengine wakubwa wengine. AJ kawapiga Klitschko, Whyte, Parker, Povetkin wote hao ni mabondia wa viwango vya juu (top 10). Fury kapigana na Klitschko na Wilder tu, Wilder kapigana na Ortiz na Fury tu.
 
Sasa mbona kipindi Joshua ametangaza pambano na Ruiz baada ya Bigbaby Miller kuenguliwa ghafla Wilder akatangaza Rematch za Ortiz na Fury na akasema ameshasign hayo mapambano kitu ambacho hakikuwa kweli maana hadi sasa haijawa confirmed kama atapigana na Fury, hiyo yote mradi tu amkwepe AJ maana alipokuwa kwenye mahojiano US AJ aliweka wazi kwamba akimpiga Ruiz kinachofuatia ni match ya Wilder kama atakubali[emoji38][emoji38]
Hapana bob mbona boxing guru wamesema kua Fury na Wilder ni confirmed fight.
 
Babu wa kiwango cha juu (champion)[emoji3][emoji3]
Unajua sometime fighter anakubali pambano kwa kujua kua losing is not a matter.

Mfano Dula Mbabe na Cheka, Dula alijua kua akipigwa na Cheka itasemwa amepigwa na bondia bora kwa Tz so it's all fair, akimpiga yeye itakua bonge la deal.

Same kwa Aj he knew akipigwa na Klitschiko it won't be much of a news. Ila akimpiga tutasema kauangusha ukuta which too bad ni ukuta wa umri umeenda kidogo.

Its how it works boss
 
Hapana bob mbona boxing guru wamesema kua Fury na Wilder ni confirmed fight.
Kama wameconfirm basi ni hivi karibuni, ila hawakuwa na uhakika hata na terehe means mkataba walikuwa bado hawajasign, tofauti na alivyokuwa akisema Wilder. Mimi binafsi namkubali sana Wilder ndo maana nimemuweka kwenye dp, sema sometimes simuelewi[emoji1][emoji1], nashangaa anaogopaga hata kupigana na Whyte wakati hatishi kihivyo
 
Back
Top Bottom